sifa za irabu /a/
Irabu ya chini kati
mdomo huviringwa
Maana ya silabi
pigo moja la sauti
Viambishi ni nini
sehemu ya neno yenye maana kisarufi ambayo hupachikwa kabla na baada ya mzizi
Neno muuguzi liko katika ngeli gani
A-WA
kibadala ni neno gani
Kiwakilishi
Tofauti kati ya Irabu na konsonanti
irabu hutamkwa kwa ulaini ilhali konsonanti hewa haibanwi
Muundo wa silabi katika neno mto
M-to
K-KI
Taja kiambishi cha udogo
ki-toto
Taja neno lolote katika ngeli ya U-I
MTO
MTI
MKATE
Neno lililopigiwa mstari ni aina gani ya neno
wengi wamekuja
Sauti /p ni konsonanti gani ukizingatia jinsi ya kutamka
kipasuo
Taja aina za silabi katika neno mto
m-to
m- irabu funge
to- irabu wazi/huru
Taja aina mbili ya viambishi
Viambishi awali na tamati
Taja miundo miwili ya nomino katika ngeli ya LI-YA
o- ma
u-ny
Tunga sentensi ukitumia kivumishi cha pekee
o-te-
o-ote
enye
enyewe
Taja nazali ghuna ya ufizi
/n/
andika neno lenye muundo ufuatao wa silabi
III
aoa
oea
kiambishi nge katika neno angesoma kinaashiria nini
Kiambishi cha hali
Ngeli ya pa huleta maana gani
pahali dhahiri
Tunga sentensi ikitumia kielezi cha mahali
kesho
shuleni
Tofautisha sauti ghuna na sighuna
ghuna ni zinazotikisa nyuzi sauti zinapotamkwa ilhali sighuna hazitikisi nyuzi sauti
Andika neno lenye silabi mwambatano ya kaakaa laini
kunywa
Kiambishi si kinaonyesha nini katika neno sikuenda
ukanusho wa nafsi
Andika kwa wingi
Nyumba hii inanuka shombo ya mkunga
Nyumba hizi zinanuka shombo za wakunga
ainisha maneno katika sentensi hii
Huyu ni mkulima hodari
Huyu ni mkulima hodari
N T N V