Ni nani? Who is it?
Uumbaji wa Yehova/ Jehovah's Creation
What song? Wimbo gani?
Our Brothers and sister/ Ndugu na Dada zetu
100

She was a brave queen

Alikuwa malkia mwenye jasiri


Esther

Esta

100

Jehovah created this animal with a great sense of smell. Humans have used this animal to detect drugs and also to have as pets:)


Yehovah aliumba mnyama huyo kuwa na uwezo nzuri sana wa kunusa. Watu wametumia mnyama huyo kutambua dawa za kuluvya na pia kuwa kama rafiki katika nyumbani. 

Dog

Mbwa

Chien

100

You cause us to become

Whatever you desire,

To do as you require—


Unatuwezesha,

Kufanya upendalo,

Mapenzi yako wewe—⁠

Jehovah is Your Name

Jina Lako ni Yehova

100

Her other name is Muisha.

Jina lake lengine ni Muisha

Daniela

200

We learned from this Bible character at the Drama of the 2019 convention to love Jehovah and hate what is bad. He started out as a young king.

Tulijifunza kutokana na mtu huyu ya Biblia katika filmu ya kusanyiko wa 2019 kumpenda Yehovah na kuchukia mambo ya Mubaya. Aliaanza kuwa mfalme mdogo. 

Josiah

Yosia

Josias

200

I'm a bird and I look like I'm wearing a tuxedo, black and white.

Niko ndege na inaonekana kama ninavaa tuxedo (suti nyeusi na nyeupe wa wanaume)

Penguin

Pengwini

Manchot

200

And here at home, in towns nearby,

We plan, we build, new skills we try.

We learn to speak a foreign tongue

And bring good news to ev’ryone.


Nazo kazi za ujenzi

Twashiriki kwa bidii.

Lugha mpya twajifunza

Tufundishe wote kweli.

Reaching out

Tumejitoa Kutumikia

200

He gave a talk in Ottawa Centretown Swahili yesterday.

Alitoa hotuba katika kutaniko la Ottawa Centretown Swahili jana.

Jean-Claude Kakudji

300

She was very resourceful and used a tent pin and a hammer to help Jehovah's people. 

Alitumia musumari wa hema na nyundo kuwasaidia watu wa Yehova.

Jael

Yaeli

300

I don't have legs and was used to talk to Eve.

Sina miguu, na nilitumiwa kuongea na Eva/Hawa.

Snake

Nyoka

300

Those faithful ones before us

Lived their lives in loyalty.

By their faith they endured.

Their future is assured.


Watumishi wa kale

Kwa ushikamanifu.

Walivumilia.

Watathawabishwa.

With Eyes of Faith

Kwa Imani

300

Mama Magurudumu.

Anita Tabasamu

400

Jesus entrusted his mother Mary's physical and spiritual care to this apostle after he would die.

Kabla Yesu amekufa, Yesu aliomba mtume huyu kumtunza mama yake, Maria, kiroho na kimwili.

John

Yohana

400

The 5th planet from the sun.


Sayari(planete) ya 5 kutoka jua.

Jupiter

Jupita

400

The thoughts I ponder through the day—

May they be pleasing to you, Lord,

And keep me steadfast in your way.


Nayo mawazo ya moyo,—

Bwana, na yakupendeze,

Nitembee nawe Bwana.

The Meditation of My Heart

Kutafakari kwa Moyo Wangu

400

Currently the oldest brother in the Governing body right now.

Ndugu mkubwa zaidi katika baraza linaloongoza.

Brother Samuel Herd

500

He was short in stature so he had to climb a tree to Jesus over the crowd. A chief tax collector who later became Jesus' disciple.

Alikuwa mfupi (taille) kwa hiyo alipaswa kupanda mti ili kumona Yesu juu umati ya watu. Alikuwa mukubwa wa wakusanya kodi na akawa mmoja ya wanafunzi wa Yesu.

Zacchaeus

Zakayo

Zachée

500

These angels were posted at the east of the garden of Eden guarding the way to the tree of life after Jehovah drove Adam and Eve out. 

Malaika hawa walikuwa na kazi kulinda njia ya kuenda kwenye muti wa uzima baada Yehova aliwafukuza Adamu na Hawa. 

Cherubs

Makerubi

Chérubins

500

You have been praying.

You have been preaching.

You have been loyal through ev’rything.

And though we don’t see all the trials you face,

Know that Jehovah’s seeing it all.

So when you stand in front of court officials,

You are not alone.


Unahubiri.

Na unasali.

Ni mwaminifu sikuzote.

Lakini bado unateseka.

Ila Yehova anaona.

Na ukipelekwa mahakamani,

Yuko na wewe.


Please be Convinced


Uwe na Hakika

500

The newest member of the Governing Body.

Ndugu mpya sana katika baraza linaloongozwa.

Ndugu Kenneth Cook.

M
e
n
u