shairi ambalo lina vipande viwili visivyotoshana. Aghalabu ukwapi huwa mfupi kuliko utao
kikai
uswahilishaji wa maneno ya kigeni
television - televisheni
utohozi
toni ni nini?
hisia zinazoambatana na ujumbe
shairi ambalo lina mizani kumi na moja katika kila mshororo?
Kisarambe
kurefusha neno
enda - enenda
mazda
kipande cha nne katika mshororo ni?
ukingo
mshororo wa mwisho unabadilika kutoka mshororo mmoja hadi mwingine
sabilia
uhuru wa kufupisha maneno
siendi - sendi
inkisari
mshororo katika ubeti wa shairi ambao una maana kamili ni
mstari kifu
shairi ambalo lina zaidi ya aina moja na mchanganyiko wa bahari ni?
sakarani
mshairi anapotumia neno ndia badala ya njia ametmia uhuru gani?
lahaja/lugha ya kikale
fani hurejelea mabo gani?
mbinu za lugha na za sanaa
shairi ambalo kwa ubeti kipande kimoja hutoa wazo ama swali huku cha pili kikitoa jibu au suluhisho
mandhuma
uhuru wa kubadilisha sauti au neno ili kufananisha vina bila kubadilisha idadi ya mizani ni?
tabdila
mtindo wa kuhifadhi siri katika ushairi kwa kuficha ukali wa maneno ni
eleza umuhimu wa ng'weng'we wa njagu
kunga - (tasfida)