Inakadiriwa Nakala Ngapi za Biblia Zimechapishwa?
5,000,000,000 (Bilioni Tano)
Pamoja na Haruni, nilimsaidia Musa kutokushusha mikono yake ili kama Waisraeli tuweze kushinda vita?
Huru
Paulo alizaliwa wapi?
Paulo na myahudi wa Tarso, huko Kilikia
Katika somo la 4, kuna video inayomhusu Dada Soten, anatoka nchi gani?
Kambodia
Kama mfalme wa Yuda, na Mwamini wa Yehova, udhaifu wangu ulikuwa mahusiano, na hata karibu ingeniua, lakini ilimua Ahabu, lakini sala yangu kwa Yehova iliniokoa
Yehoshaphati
Sehemu alipotundikwa Yesu iliitwa nini?
Golgotha, Mahali pa Fuvu la Kichwa
Katika somo la 11 "Jinsi Unavyoweza kunufaika zaidi unaposoma Biblia" Kujifunza kufurahia kusoma Biblia inalinganishwa na kufanya nini?
Kujifunza kupenda vyakula vya aina mbalimbali
Nilikuwa pamoja na Paulo Meli ilipovunjwa, na pia nimewahi kukamatwa na kikundi cha wafanya ghasia
Aristarko
Musa na Haruni walipokosea kupiga jiwe mara mbili
Meriba (Kadeshi)
Ni andiko ipi kwenye Biblia inayozungumzia mzunguko wa maji duniani?
Ayubu 36:27,28
Kama Kuhani mkuu, nilisaidia kumpinga Malikia Athalia na kurudisha uzo wa Daudi katika utawala wa Yuda
Yehoyada
Mahali Waisraeli alivuka Bahari Nyekundu
Pihahirothi