Ufalme wa Mungu
Imani na upendo wetu kwa Yehova
Yesu Na Damu
100

Ufalme wa mungu ulianza kutawala mbinguni lini? 

1914

100

Ibada yetu inategemea  nini?  

Yohana 17:17  "Neno lako ni kweli"

100

Yesu alizaliwa wakati gani?

When was Jesus born?

Wakolosai 1:15 

200

Kwa nini hali zimekuwa mbaya sana tangu Ufalme wa Mungu uanze kutawala?

" Alitupwa chini, duniani, na malaika zake wakatupwa chini pamoja naye'' Ufunuo 12: 9, 10, 12

200

Tunapaswa kumpenda mungu kwanguvu zetu tu. True or False?

Kumbukumbu la torati 6: 3

200

Mungu anakataza Matumizi gani ya damu?

Wasile Damu. Mwanzo 9:4

300

Ni kazi gani muhimu inayoonyesha kwamba ufalme wa mungu unatawala?

Mathayo 24: 14

300

jinsi gani tunaweza kuonyesha tunampenda mungu?

Tushike amri zake.   1 yohana 5:3

300

---- Wa kila kiumbe umo katika ---- yake.

Uhai, damu.    Walawi 17:14

400

Ile ndoto ya mti inausisha  nani katika Utimizo wa kwanza?

Nebukadneza,   Danieli 4: 34 -36

400

Tunanufaika namna gani tunapo mtii Yehova? 

 Isaya  48;17,18

400

Je tunaweza kuomba mtu kutufanyia uamuzi kuhusu visehemu tunavyo weza kupewa? Kwanini?

Waroma 14:12  "Kilammoja wetu atatoa hesabu yake"

500

Ufalme wa mungu ungeanza kutawala mwishoni mwa kipindi kinachoitwa-----------. 

"Nyakati saba." Danieli 4: 16,17   

Yesu alisema "Nyakati zilizowekwa za mataifa". Luka 21: 24

500

-- Yehova, chukieni maovu. Anaulinda uhai wa washikaminifu wake; Huwaokoa kutoka katika mkono wa mwovu. 

"Enyi mnaompenda"  Zaburi 97: 10

500

Kwanini tunaitaji kujifunza kumhusu yesu?

 Yohana 14: 6,    17:3

M
e
n
u