Muziki
Yesu
Tengenezo
Wanawake
100

Huu ni wimbo upi:

Ee, Yehova, una hekima nyingi;

Nafsi yangu inajua vema.

Hata katika giza la usiku,

Roho yako itaniongoza.

WIMBO NA. 5

Kazi za Mungu za Ajabu

100

Yesu anatajwa kwa majina mangapi kwenye Biblia, yataje. (Si vyeo vyake)

Matatu, Yesu, Mikaeli, Imanueli

100

Katika mwaga gani jina letu lilibadilishwa kuwa Mashahidi wa Yehova?

1931

100

Fimbo ndio kilicho amua matokeo ya uhai wake

Malikia Esta

200

Nyimbo ya kwanza iliyoyungwa 'the best life ever' ilitolewa mwaka gani?

2014

200

Yesu alimfufua mtoto wa?

Yairo, mmoja wa maofisa wasimamizi wa sinagogi

200

Mnara wa Mlinzi ilianza kuchapishwa mwaka gani?

1879

200

Yaeli alitumia haya mambo mawili kumtuliza Sisera alale?

Blanketi na Maziwa

300

Wimbo 'Upendo Usioshindwa" ulitoka kwenye kusanyiko ipi (kichwa cha kusanyiko) na ilikuwa mwaka gani? 


"Upendo Haushindwi kamwe"! mwaka 2019

300

Yesu alikuwa na wafuasi gani sura yake ilipogeuka kwanye mlima mrefu?

Petro, Yakobo, Yohana

300

Taja njia 5 michango zetu hutumiwa

Ujenzi, Watumushi wa wakati wote, Machapisho, Makusanyiko, Misiba za Asili (DRC), Kutegemeza mabetheli na majengo za ibada

300

Dada aliyefufuliwa na Petro aliitwa nani?

Dorkasi au Tabitha

400

Maliziza wimbo ( angalau maneno matano sahihi):

Tumwige Mungu, tuwe na upendo

Kwa ndugu na dada.

Tuwe tayari kuwasaidia,

Wa zamani; wapya pia.

Tuwaonyeshe upendo mwororo.

Tusibague huyu au yule.

Tuwasamehe watukoseapo.

Tuwapende; tupende wote.

WIMBO NA. 107

Mungu—Kielelezo cha Upendo

400

Taja majina ya wafuasi wote 12 wa Yesu

Petro, Andrea, Yakobo, Yohana, Filipo, Batholomayo, Tomasi, Mathayo, Yakobo, Thadayo, Simoni, Yuda Iskariote

400

Kusanyiko amabayo Ndugu Rutherford alisema "Tangazeni, Tangazeni Tangazeni Mfalme na Ufalme wako" ilifanyika wapi?

Ceder point, Ohio, Marekani

400

Jina wa nabii aliyetabiri kifo chenye amani cha Mfalme Yosia

Hulda

500

Huu ni wimbo upi?

Neno lina nguvu, lapenya moyo.

Linatambua fikira na nia.

Sheria zako njema,

na ni kamilifu.

Zaturekebisha, zatuongoza.


WIMBO NA. 94

Kulithamini Neno la Mungu

500

Taja jina la dimbwi ambayo wagonjwa waliingia kwa sababu walifikiri maji yake yaliweza kuwaponya

Dimbwi la Bethzatha

500

Taja maraisi wote wanne wa tengenezo? Yani wale kable ya kuwa na baraza la kuongoza

Ndugu Russel, Rutherford, Knorr, Franz

500

Mwanamke peke aliyewahi kuwa malikia kwenye historia za taifa la Israeli

Malikia Athalia

M
e
n
u