Jina lako ni nani?
Jina langu ni...
Unasemaje English kwa Kiswahili?
Kiingereza
mama wa baba
bibi
Unasemaje 1000 kwa Kiswahili
Elfu moja
Unasemaje cooked rice kwa Kiswahili?
Wali
Unatoka nchi gani?
Ninatoka nchi ya...
Unasemaje German kwa Kiswahili?
Kijerumani
baba wa baba
babu
Unasemaje 19199
elfu kumi na tisa mia moja na tisini na tisa
Unasemaje avocado kwa Kiswahili
parachichi
Unasoma nini?
Ninasoma...
Unasemaje Spanish kwa Kiswahili?
Kihispania
kaka wa mama
mjomba
laki nane elfu themanini na nane na mia nane themanini na nane.
Unasemaje watermelon kwa Kiswahili?
tikiti maji
Unakaa wapi sasa?
Ninakaa mji wa Lawrence, jimbo la Kansas
Unasemaje Arabic kwa Kiswahili?
Kiarabu
dada mkubwa wa mama
mama mkubwa
Unasemaji one million kwa Kiswahili
Milioni moja
Unasemaje olives kwa Kiswahili
Zeituni
Unapenda nini?
Ninapenda...
Unasemaje French kwa Kiswahili?
Kifaransa
kaka mdogo wa baba
baba mdogo
Unasemaje 9999 kwa Kiswahili
Elfu tisa mia tisa na tisini na tisa
Unasemaje grapes kwa Kiswahili
Zabibu