Shairi ambayo ina mizani minane na minne, huitwaje?
Msuko.
The legendary Nigerian musician Fela Kuti pioneered this politically charged musical genre.
Afro-beat
What was the first genre of Kiswahili music in East Africa
Taarab
Shairi ambayo inaupande mbili, inaitwaje?
Mathnawi
Mji huu wa pwani ya Kiswahili nchini Kenya ni maarufu kwa sherehe zake za jahazi na usanifu tajiri wa Kiislamu-Kiswahili
Lamu
This Tanzanian linguist and leader was key in promoting Kiswahili as a national and regional language.
Mwalimu Julius Nyerere.
Anajulikana kama baba wa fasihi ya Kiswahili ya kisasa, mwandishi wa Siku Njema na Kufa Kuzikana.
Ken Walibora
Wasanii hawa wa Kenya waliimba kuhusu faida ya vijana kusoma
SAUTI SOL - SOMA KIJANA
Sentensi ya mwisho ambayo hurudiwa katika shairi huitwaje? Taja visawe vyake pia.
Kituo, Mkarara, Kibwagizo, Kimalizio.
Nchi hii ya Afrika ndiyo ya kwanza kupata uhuru barani mwaka 1957
Ghana
Lugha ya Kiswahili ilianza kutumika karne kadhaa zilizopita kama matokeo ya mchanganyiko wa tamaduni hizi tatu.
Kiarabu, Kibantu, makabila ya pwani
Shairi ambayo ina mizani minane na minne, huitwaje?
Msuko.
Wasanii hawa ni wenjeyi wa Buruburu na wanajulikana kwa Muziki wa Kiswahili na genge
Buruklyn Boys
Neno uhuru lilitumiwa sana wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika na linamaanisha nini?
Freedom
Nchi hii ya Afrika iliweka historia kwa kuwa ya kwanza kufika nusu-fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022 na kumaliza nafasi ya nne.
Morocco
Falsafa hii ya Kiafrika inasisitiza jumuiya, ubinadamu wa pamoja, na wazo kwamba "Mimi ni kwa sababu sisi ni? -
Ubuntu
Msomi huyu wa Tanzania alikuwa mtu mashuhuri katika taaluma ya Kiswahili kwa zaidi ya miongo mitano, maarufu kwa mchango wake katika lugha na fasihi.
Profesa Abdulaziz Mkilifi
Kundi hili la muziki lilipata umaarufu mkubwa katika miaka ya 2000 kupitia nyimbo kama “Unbwogable na Atoti.”
Gidi Gidi Maji Maji
Taja sehemu nne za shairi - Wima
Ukwapi, Utao, Mwandamizi, Ukingo.
Taja jina la Mshairi wa kwanza wa kike
Mwana Kupona binti Msham - Born in Pate Island, Kenya
Mji huu wa pwani ya Afrika Mashariki unachukuliwa kuwa moyo wa kihistoria wa utamaduni wa Waswahili.
Mji wa Lamu
Methali ya Kiswahili “Mwacha mila ni mtumwa” inasisitiza umuhimu wa nini?
Kuhifadhi mila na tamaduni zetu.
Msanii huyu alijulikana sana miaka ya 2000 kwa wimbo wake “Bidii Yangu” na mtindo wa Genge.
Juacali