Kutoa /kupunguza:
20-5 = ?
15
Nyuki wana kula nini?
maua
Wiki moja ina siku ngapi?
siku saba
Mbwa wa Musse Pigg anaitwa nani ?
Pluto.
Bendera ya Sweden ina rangi ngapi?
(sveriges flagga)
rangi mbili (2),
bluu na njano
Kuongeza/kujumlisha
5+5+10+5 ni sawa sawa na ngapi ?
25
ishirini na tano.
Dunia (jorden) ina umbo gani?
duara
mviringo
Upinde wa mvua (regnbåge) una rangi ngapi?
7
Rangi saba
Nalle Puh anapenda sana kula nini?
Watu wanaongea lugha gani sana Tanzania?
Kiswahili
Kwenye dakika moja kuna sekunde ngapi?
Hur många sekunder finns det i en minut?
60
"havet" kwa kiswahili tunaita nini?
bahari
Tanzania kuna mlima mrefu kuliko milima yote Afrika. Una barafu (snö) juu yake.
Mlima huo unaitwaje ?
Mlima Kilimanjaro.
Vaiana anatembea na mnyama gani ambaye ni rafiki yake sana?
Vad är Vaianas bästa djurvän som hon reser tillsammans med?
Nguruwe,
anayeitwa Pua!
kahawa
Elfu moja (ett tusen) in sifuri ngapi?
sifuri tatu
1, 0 0 0
Siku moja ina masaa mangapi?
24
saa 12 za usiku + saa 12 za mchana
Kwenye filamu ya Lejonkungen, yule mjomba wake na Simba, ambaye ana roho mbaya anaitwa nani ?
Scar
Kwenye filamu ya Djungelboken, rafiki wa Mowgli anaitwa nani?
Baloo
Mji mkuu (mkubwa ) wa Sweden unaitwaje ?
Stockholm
Duara ina pande ngapi?
Hur många sidor har en cirkel?
0
au
1 uliopinda
Kwenye filamu ya Shrek, rafiki yake Shrek anayependa sana kuongea ni nani?
Punda
en åsna
Rangi gani haipo kwenye bendera ya Tanzania? Chagua jibu moja:
a) Nyekundu
b) bluu
nyekundu
Kwenye filamu ya Toy Story, cowboy anaitwa nani?
Woody
Mbeya, Kigoma na Bukoba ni mikoa iliyopo nchi gani?
Tanzania