Kwenye masaa mawili kuna dakika ngapi?
120
Dunia ina bara ngapi?
Hur många kontinenter (världsdelar) finns det på jorden?
7
- Afrika - Nordamerika
- Antarktis - Sydamerika
- Asien - Oceanien
- Europa
Miti na mimea inahitaji nini ili iweze kukua
Vad behöver växter för att växa och må bra?
maji, mwanga na kabondayoksaidi (koldioxid)
Ni herufi/vokali zipi hazipo kwenye alfabeti ya kiswahili?
Vilka vokaler/bokstaver har vi inte i Swahili alfabet?
Å, Ä, Ö
Nani ana nywele ndefu za ajabu, na amefungiwa kwenye jumba, kwenye filamu ya Trassel?
Rapunzel
kutoa (subtraktion)
92 - 77 = ?
jibu = 15
Eiffeltornet (Eiffel Tower) ipo nchi gani?
Ufaransa
Frankrike
sababu ya nguvu ya uzito na mvutano
dragningskraft /gravitation
sababu ya nguvu ya uzito na mvutano
dragningskraft /gravitation
Vad är swahili ord för "verb" ?
a) nomino
b) kitendo/kitenzi
c) kielezi
Kitendo au Kitenzi
Kwenye filamu ya Encanto, nani hupaswi kutaja jina lake kabisa. Ni nani?
Vem är det man inte ska prata om i filmen Encanto?
Bruno
Kuongeza/kujumlisha
552 + 448 = ?
1000
Mji mkuu wa nchi ya Kenya unaitwaje?
Vad heter Kenyas huvudstad?
Nairobi
Kiungo gani kinasukuma damu mwilini?
Vilket organ pumpar runt blodet i hela din kropp?
moyo
Hjärta
Kinshasa ni mji mkuu wa nchi gani?
I vilket land ligger huvudstaden Kinshasa?”
Congo DRC
Kwenye filamu ya Toy Story, yule mbwa mkali wa Sid anaitwa nani?
Scud
Duara (cirkel) ina pande ngapi ?
Hur många sidor har en cirkel ?
0
eller 1 krökig sida
Bahari kubwa kuliko zote duniani?
Vilket är jordens största hav?
Bahari ya Pasifiki
Stilla havet
Kuna sayari ngapi
Hur många planeter finns det?
sayari 8
Mwili wa binadamu una mifupa mingapi?
Hur många ben finns det i kroppen?
206
men ungefär 300 st. hos nyfödda bebisar.
Kwenye filamu ya FROZEN, Elsa anaimba wimbo gani wakati anajenga kasri ?
LET IT GO
Kwenye milioni moja kuna sifuri ngapi?
Hur många nollor har en million?
sifuri 6.
1, 000, 000
Ni bara gani ambapo hakuna nyoka wala wadudu?
I vilken kontinent finns det inte ormar eller insekter?
Antarktis
Antarctica
Kwa nini ukitupa kitu juu, siku zote kinaanguka kurudi chini?
Varför faller saker alltid till marken om du släpper dem
sababu ya nguvu ya uzito na mvutano
dragningskraft /gravitation
Afrika kuna nchi ngapi?
Hur många länder finns det i Afrika?
a) 20 ?
b) 35 ?
c) 54 ?
nchi 54
Kwenye filamu ya LION KING (Lejon Kungen), marafiki wazuri wa Simba ni kina nani?
Vilka är Simbas bästa kompisar i Lejon Kungen?
Timon & Pumba