Jina
name
siku
day
mwezi
month
mwaka
year
Plural of 'mwaka' and 'mwezi'
miaka
miezi
10,20, 30, 40, 50
kumi
ishirini
thelathini
arobaini
hamsini
11,12,13,14,15
kumi na moja
kumi na mbili
kumi na tatu
kumi na nne
kumi na tano
Jumamosi ni Saturday. Wednesday ni _____
Jumatano
Love
Upendo
Sijambo means ______
I dont have an issue
I am fine
Any five Swahili verbs besides kusoma, kula, kusafiri, kulala
Kuomba
Kunywa
Kusikiliza
Kutazama
Kuandika
----------
Two meanings of the word 'saa'
Hour / Hours
Time
Dakika in English
Minute/minutes
Tunasemaje 'Wait a moment/little' kwa Kiswahili?
Subiri kidogo
Ngoja kidogo
'Just a little' in Kiswahili
Kidogo tu
How do you ask someone where he/she lives?
Unaishi wapi?
Unakaa wapi?
How do you ask what the date is in Kiswahili?
Ni tarehe ngapi?
What is the time?
7:15am
8:56pm
1pm
5:30pm
saa moja na robo / saa moja na dakika kumi na tano
saa tatu kasoro dakika nne
saa saba mchana
saa kumi na moja na nusu/unusu jioni
Ni tarehe ngapi?
7th May 2021
Tarehe saba Mei, mwaka 2021
Tarehe saba mwezi wa tano mwaka wa 2021
Mei saba, mwaka 2021
What is the plural of the following sentences:
Ninajifunza Kiswahili
Anapika chakula
Unapenda kusafiri sana
Tunajifunza Kiswahili
Wanapika chakula
Wanapenda kusafiri sana