Kuna joto, mvuke, na ninaogelea. Ni msimu gani?
Msimu wa joto
Hindi, Pasifiki, Atlantiki....
Bahari
Alabama, Lousiana, Mississippi
Kusini ya Marekani
Unasemaje "turn left" kwa Kiswahili?
Pinda kushoto
Unasemaje "traffic lights" kwa Kiswahili?
taa za barabarani
Kuna baridi sana, theluji, na barafu. Ni msimu gani?
Msimu wa baridi
Kalahari, Sahara,
Jangwa
Illinois, Connecticut, Indiana, Iowa
Kaskazini ya Marekani
Unasemaje "straight" kwa Kiswahili?
moja kwa moja
Unasemaje "junction" kwa Kiswahili?
makutano
Kuna mvua nyingi, baridi kidogo, na maua mengi. Ni msimu gani?
Msimu wa machipuo
Amazon, Monteverde,
Misitu
Maine, Maryland, DC, Rhode Island
Mashariki ya Marekani
Unasemaje "on your right" kwa Kiswahili?
kulia kwako
Unasemaje "touch" kwa Kiswahili?
gusa
Kuna upepo, baridi kidogo, majani yanaanguka. Ni msimu gani?
Msimu wa maanguko
Maui, Hawai, Madagascar, Galveston
Kisiwa
Arizona, Colorado, New Mexico, Montana
Magharibi ya Marekani
Unasemaje "you will see" kwa Kiswahili?
utaona
Unasemaje "trash" kwa Kiswahili?
takataka
Misimu minne Marekani ni......
msimu wa maanguko, msimu wa baridi, msimu wa joto, na msimu wa machipuo
Michigan, Mississippi, Colorado, Missouri
Ziwa
Jimbo la Kansas liko wapi?
Katikati ya Marekani
Unasemaje "follow kwa Kiswahili?
Fuata
Unasemaje "safisha" kwa Kiswahili?
clean