Ziwa Tanganyika lipo wapi?
Tanzania
Afrika ina nchi ngapi?
Sinema gani ni maarufu kwa kutumia maneno ya Kiswahili "Hakuna matata"?
Lion King
Rome ipo nchi gani?
Italia
Ni katika filamu gani kuna samaki wa rangi ya chungwa na mistari meupe anayetafuta mtoto wake aliyepotea?
Finding Nemo
"Ukame" maana yake nini kwa kiswahili?
kukosekana mvua, ukavu
Brazil, Peru Agentina
DAILY DOUBLE!!!!
Australia is an example of a _____&______.
continent & country
Which ocean is on the left side of North America?
Pacific Ocean
Which way does the Prime Meridian run on the globe?
Vertically or Horizontally
Horizontally
Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote Afrika.
Kweli au Sikweli??
Kweli
Bara gani kuna nyoka wengi na wenye sumu?
Australia au Asia?
Australia
Kwenye Filamu ya Lion King, mjomba wake Simba, yule mwenye roho mbaya anaitwa nani?
"Frankrike" (France) inaitwaje kwa kiswahili?
Ufaransa
The equator and prime meridian divide the world into what?
hemispheres, continents, countries, oceans
hemispheres
Ziwa Kivu lipo wapi?
(Kivusjön)
Rwanda/Kongo
Bara gani ambapo hawaishi watu?
I vilken kontinent bör inte männsikor?
Antaktika
Demargogon ni kiumbe kwenye filamu gani maarufu?
Stranger Things?
Nchi gani ya hapa Ulaya ambayo ipo Ulaya na pia Asia?
Vilket land i Europa ligger båda i Europa och Asien?
Urusi (Russia)
DAILY DOUBLE!!!!
The Great Lakes, Mississippi River are in what continent _________.
what is North America
Volkano ya Nyiragongo ipo wapi
Kongo Kinshasa
Jangwa la Sahara lipo bara gani?
Africa
Where is the Nile River _________.
What is Africa
Which ocean surrounds Antarctica?
Southern Ocean
The world is made up of 7 _________ and 5 ________.
7 continents and 5 oceans