The second bird sent from the ark.
Huyu ni ndege ya pili aliyotumwa kutoka katika safina.
What is a dove?
Njiwa ni nani?
This man stated, "I am the way and the truth and the life."
Huyu alisema, “Mimi ndiye njia na kweli na uzima.”
Who is Jesus?
Yesu ni nani?
Infamously traded Jesus' life for 30 pieces of silver.
Anajulikana kwa kuuza maisha ya Yesu kwa vipande makumi tatu (30) vya feza.
Who is Judas Iscariot?
Yuda Iskariote ni nani?
“Let Jesus’ model beOur path eternally,And then God’s favor we’ll know day by day.”
“Tuzifuate hatua za Yesu.Tumwige daima,maishani mwetu.Tutapata kibali cha Mungu.”
Daily Double
What is the song number?
Namba ipi?
What is “Christ, Our Model?”
“Kristo, Kielelezo Chetu” ni nini?
Daily Double
13
This couple infamously quarreled over a dance.
Hawa wawili waligombana juu ya densi.
Who are David and Michal?
Daudi na Mikali ni nani?
This bird of prey is noted for its farsightedness.
Ndege huyu anaonekana kwa uwezp wake kutazama mbali sana.
What is an eagle?
Tai ni nani?
Said, "who knows whether it is for a time like this that you have attained to your royal status?"
Alisema, “Na ni nani anajua ikiwa haiko kwa ajili ya wakati kama huu ndiyo maana umefikia cheo chako cha kifalme?”
Who is Mordecai?
Mordekai ni nani?
Asked for forgiveness for his presumptuous sin and in the same breath asks to be honored in front of the elders of his people.
Aliomba msamaha wa dhambi yake ya kimbelembele na wakati uleule akomba kuheshimiwa mbele ya wazee wa watu wake.
Who is Saul?
Sauli ni nani?
“No longer as living for ourselves,For you we will live or die.“
“Hivyo maisha yetu yote,Tumejitoa kwako.”
Daily DoubleWhat is the song number?
Namba ipi?
What is “Christian Dedication?”
“Wakfu wa Kikristo“ ni nini?
Daily Double
52
This couple's union resulted in the protection of the Jews from genocide.
Hawa wawili walikinga Wayahudi kutoka uharibifu.
Who are Esther and Ahasuerus?
Esta na Mordekai ni nani?
These animals came into existence on the fifth creative day along with birds.
Hawa wanyama wilumba siku ya tano pamoja ndege.
What are marine animals?
Viumbe wakubwa wa bahari ni nani?
Said, "Do not take your servant for a worthless woman, for I have been speaking until now out of my great anguish and distress."
Alisema, “Usiwaze mutumishi wako ni mwanamuke mwenye hana mafaa yoyote, kwa maana nimekuwa nikizungumuza katika uchungu wangu mwingi na mateso yangu mengi.”
Who is Hannah?
Hana ni nani?
These "men" gave rise to many mythologies of fearful demigods with god-man characteristics.
Hawa “wanamume” walianzisha hadithi zenye kuogfya kuhusu miungu-wanadamu wenye umbo linaloonekana.
Who were the Nephilim?
Wanefili ni nani?
“Through him, at last, evil soon will be past;This hope, like an anchor, is holding us fast.”
“Mwimbieni na kushangilia!Ufalme wake unakaribia.Uovu ataufutilia;Tumaini letu twashikilia.”
Daily Double
What is the song number?
Namba ipi!
What is “Holding Fast to Our Hope.”
“Kushikilia Tumaini Letu“ ni nini?
Daily Double
142
This union was formed after Jehovah commanded the prophet to take a "wife of fornication."
Hawa wawili walifunga ndoa baada ya Yehova kuamuru nabii huyu kumoa “mwanamke kahaba.”
Who are Hosea and Gomer?
Hosea na Gomeri ni nani?
This animal can grow up to 15 feet long and weigh up to 8,000 lbs. It’s thick hide protects it from rocky water beds.
Wanyama huyu anaweza kukua kuwa 4.5 meters na kilo 3,600 hivi.
Daily Double.
What book of the Bible is it mentioned in?
Kitabu gani kinamrejelea?
What is hippopotamus?
Kiboko ni nani?
Daily Double
What is Job
Ni nini ni Ayubu?
Said, "Have you come to remind me of my guilt and to put my son to death?"
Alisema, “Je, umekuja kunikumbusha kosa langu na kumuua mwana wangu?”
Daily Double
Who was the person speaking to?
Alikuwa akiongea na nani?
Who is the widow of Zarephath?
Mjane wa Sarefathi ni nani?
Daily Double
Elijah ni nani?
Eliya ni nani?
This Phonecian woman helped her husband do more to offend Jehovah than all the kings of Israel prior to him.
Mwanamke huyu wa Foinike alimsaidia mume wake kumchukiza Yehova kushinda Wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Who is Jezebel?
Yezebeli ni nani?
“Love what is good; Hate what is bad.Make God’s heart glad,”
“Penda mema; Mungu wetu Afurahi.”
Daily Double
What is the song number?
Namba ni ipi?
What is “Make Sure of the More Important Things?”
“Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi” ni nini?
Daily Double
35
This couple's joint conspiracy over the price of a field cost them both their lives.
Hawa wawili walipoteza uhai wao kwa sababu ya kuficha kiasi fulani cha feza za shamba waliouza.
Who are Ananias and Sapphira?
Anania na Safira ni nani?
This bird is the first specifically named in the Bible and is one of the most adaptable and resourceful of them all.
Ndege huyu ni ndege ya kwanza anavyotajwa kwa jina katika Biblia.
What is a raven?
Kunguru ni nani?
Said, "Jehovah is a God who requires exclusive devotion and takes vengeance..."
Alisema “Yehova ni Mungu mwenye anataka watu washikamane na yeye tu na ni mwenye kulipiza kisasi...”
Who is Nahum?
Nahumu ni nani?
She installed herself as Queen for six years as her sons robbed the temple of holy things and offered them to Baal.
Alijienzi akiwa malkia kwa miaka sita na akaruhusu wanawe walikuwa wametumia vitu vyote vitakatifu vya nyumba ya Yehova kwa ajili ya Mabaali.
Who is Athaliah?
Atalia ni nani.
Others may give up, Lose their will to try,Echoing the wife of Job: “Curse God and die.”
Wengine kama mke wa Yobu,Husema: ‘Mlaani Mungu ufe.’
Daily Double
What is the song number
Namba ni ipi?
What is “The Miracle of Life?”
“Muujiza wa Uhai” ni nini?
Daily Double
141
This couples relationship ended with the transaction of 1,100 pieces of silver.
Uhusiano wa hawa wawili ulikomeshwa na malipo ya vipande elfu moja na mia moja (1 100) vya feza.
Who are Samson and Delilah?
Samsoni na Delila ni nani?