the first child
(Tafsiri kwa Kiswahili)
mtoto wa kwanza
the twelfth month
(Tafsiri kwa Kiswahili)
mwezi kwa kumi na mbili
Hujambo, mwalimu. __jambo, mwanafunzi.
Fill in the blank.
Sijambo
Habari za kazi?
(Tafsiri kwa Kiswahili)
How is work?
40
arobaini
the first day of the week
(Tafsiri kwa Kiswahili)
What is Jumamosi?
Mwalimu wa Kiswahili anatoka wapi?
(Jibu maswali)
Mwalimu anatoka Tanzania.
asante
(Andika kwa wingi - plural)
asanteni
3 + 5 = 8
(Andika majibu kwa Kiswahili)
Tatu jumlisha tano ni nane
6th day of the week - Thursday
(Tafsiri kwa Kiswahili)
Alhamisi
Mama na baba ___toka wapi?
Fill in the blank.
Mama na baba wanatoka _______.
Fungueni vitabu vyenu.
(Tafsiri kwa Kiswahili)
Open your books.
30
thelathini
Tomorrow?
(Tafsiri kwa Kiswahili)
Kesho
Yeye ___kaa Athens sasa.
Fill in the blank.
Yeye anakaa Athens sasa.
Bibi anauliza, "Habari za mchana?"
(Tafsiri kwa Kiingereza)
Grandma asks, "How are you this afternoon?"
18 / 9 = 2
Kumi na nane gawanya kwa tisa ni mbili
Day after tomorrow
(Tafsiri kwa Kiswahili)
Kesho Kutwa
___jambo mwanafunzi.
Fill in the blank.
Hamjambo mwanafunzi.
Ninasema Kifaransa, Kiingereza, na Kireno kidogo.
(Tafsiri kwa Kiingereza)
I speak French, English and a little Portuguese.