Mnyama huyu ni mfalme wa msitu
Ni nini simba
The word itself is a drink, but is used to refer to a type of tea in America.
ni nini Chai?
This proverb tells people that they need to slow down.
Ni nini haraka haraka haina baraka.
Kutafasiri hii kwa kiingereza, "mgonjwa"
Ni nini sick?
Amerika inapenda mchezo huu sana sana kwa sababu Michael Jordan alicheza
ni nini mpira wa kikapu
Mnyama huyu ni tusi katika kenya
Ni Nini Mbwa
Mtu anayechukua hukumu
Ni Nini Weita?
Timon and Pumbaa alisema hii mengi katika filamu Lion King
Ni Nini Hakuna Matata
Ngono inaweza kukupa ugonjwa huu
Ni Nini UKIMWI?
Neymar anacheza mchezo huu
Ni Nini Soka?
Mnyama huyu ana shingo ndefu
Ni Nini Twiga
Wimbo tuliyasikia mwaka jana kuhusu viazi
Ni Nini Chongo Viazi
Kutafasiri hii kwa kiingereza,"picha ina thamani ya maneno elfu"
Ni Nini, A picture is worth a thousand words
Kutasafiri, "I have pain in my leg" kwa Kiswahili
Ni Nini Nina maumivu mguu wangu?
Michezo ambayo ina World Series
Ni Nini Besiboli?
Mnyama huyu ni kijivu na ana pembe
Ni nini Kifaru
Nyama ya kula kwa kusema shukrani (Thanksgiving?)
Ni Nini Bata Mzingi?
Kutafasiri kwa Kiswahili, "Bahari haivukwi kwa kuogelea"
Ni Nini, "you cannot cross the ocean by swimming"
Doktari, nina Kuumwa na kichwa na homa. Mimi pia nilikula nyama ya ng'ombe. Nina nini?
Ni Nini mzio?
Lerroy anacheza mchezo huu
Ni Nini Rugby?
mnyama huyu anaweza kumeza mamba
Ni nini kiboko
Mwalimu anapenda chakula hiki sana sana
Ni Nini Chapati
Kutasafiri kwa kiingereza, "Hasira ni ukichaa mfupi."
Anger is a short madness
Nina mapema juu ya mkono wangu. Nina nini?
Michezo iliyocheza na Cameron Newton
Ni Nini Footbali