Wafalme
Makusanyiko
Sinema
100

Israeli iligawanya kuwa falme mbili Katika utawala wa mfalme gani?

Mfalme Rehoboamu

100

Kusanyiko  tuliyopata jina letu Mashahidi wa Yehova ilifanyika wapi na mwaka gani?

Ilifanyika Colombus, Ohia, USA mwaka wa 1931

100

Sinema ya "Tunatumaini kile ambacho hatuoni" ilitegemea mfano gani wa Biblia?

Ayubu

200

Mfalme Ahabu wa Israeli alimwomba Mfalme gani wa Yuda amsaidie vitani dhidi ya Ramothi-gileadi?

Mfalme Yehoshafati

200

Mkumbuke mkw wa Loti ilitolewa kwenye kusanyiko ipi, na mwaka gani?

Usife Moyo! 2017

200

Katika Sinema ya Yona, Yona alijaribu kukimbilia wapi?


Tarshishi


300

Baba yangu alikuwa na umri wa miaka 12 hivi nilivyozaliwa na hakumtumikia Yehova, mimi ni nani?

Mfalme Hezekia

300

Tafsiri mpya ya maandishi ya Kigriki ilitolewa wapi kwa mara ya kwanza?

Yankee Stadium, New York 1950

300

Katika sinema "Mkumbuke mke wa Loti" Dada alienda kumfanyia kazi nani?

Mjomba wake

400

Binadamu gani alikuwa Mfalme mwadilifu wa kwanza kutajwa kwenye Biblia?

Melkizedeki mfalme wa Salemu

400

Nyangumi wa blu wanakula nini?

Krill, wanyama wadogo

400

Katika sinema ya Danieli, Danieli alitumia andiko gani kujibu swali ya mfalme ya kwa nini warevu baado hupitia magumu?

Mhubiri 9:11

500

Taja mafalme wa kwanza na mfalme wa mwisho wa Yuda?

Wakwanza: Mfalme Rehoboamu

Wamwisho: Mfalme  Sedekia

500

Kwenye kusanyiko wa mwaka huu, mfano wa Maria ilitumiwa na video gani ya kielelzo cha leo?

Video ya Ndugu aliopewa migao ambaye alidhani hakuweza kutimiza

500

Katika drama ya Nehemia, Nehemia alimwomba mfalme gani amrhusu aende Yerusalemu?

Mfalme Artashasta

M
e
n
u