Ni saa ngapi?
1:35pm
saa saba na dakika thelathini na tano
Saa nane kasoro dakika ishirini na tano
Unasemaje pineapple kwa Kiswahili?
Nanasi
Unasemaje eggplant kwa Kiswahili?
biringanya
Unasemaje cooked rice kwa Kiswahili?
wali
Unasemaje juice kwa Kiswahili?
juisi/maji ya machungwa/maembe/tofaa/karoti
Ni saa ngapi?
3:00am
Saa tisa kamili usiku
Unasemaje watermelon kwa Kiswahili?
tikitimaji
Unasemaje peas kwa Kiswahili?
njegere
Unasemaje beef kwa Kiswahili?
nyama ya ng'ombe
Unasemaje wine kwa Kiswahili?
mvinyo
Ni saa ngapi?
6:29am
Ni saa kumi na mbili na dakika ishirini na tisa asubuhi
Unasemaje oranges kwa Kiswahili?
machungwa
Unasemaje cheese kwa Kiswahili?
jibini
Unasemaje sweet potatoes kwa Kiswahili?
viazi vitamu
Unasemaje milk kwa Kiswahili?
maziwa
Ni saa ngapi?
8:19pm
Ni saa mbili na dakika kumi na tisa usiku
Unasemaje avocado kwa Kiswahili?
parachichi
Unasemaje kale kwa Kiswahili?
sukumawiki
Unasemaje eggs kwa Kiswahili?
mayai
Unasemaje drink(s) kwa Kiswahili?
Kinywaji/vinywaji
Ni saa ngapi?
5:45pm
Ni saa kumi na mbili kasorobo
Unasemaje lemons kwa Kiswahili?
malimao
Unasemaje garlic kwa Kiswahili?
Kitunguu saumu
Unasemaje goat meat kwa Kiswahili?
nyama ya mbuzi
Unasemaje coffee, tea, water, and beer kwa Kiswahili?
kahawa, chai, maji, na bia