SIMU 1
Simu 2
KAZINI KWANGU 1
KAZINI KWANGU 2
100

Unasemaje "communication" kwa Kiswahili?

mawasiliano

100

Unasemaje "Voicemail" kwa Kiswahili?

ujumbe wa sauti

100

Unasemaje "employer" kwa Kiswahili?

mwajiri

100

Unasemaje "department" kwa Kiswahili?

idara

200

Unasemaje "to record" kwa Kiswahili?

kurekodi

200

Unasemaje "I’m calling to inform you" kwa kiswahili?

Ninapiga simu kukujulisha

200

Unasemaje "employee" kwa Kiswahili?

mwajiriwa

200

Unasemaje "to supervise" kwa Kiswahili?

kusimamia

300

Unasemaje "urgent/important" kwa Kiswahili?

muhimu/haraka

300

Unasemaje " Sorry, I couldn’t reach you." kwa kiswahili?

samahani hukupatikana

300

Unasemaje "to employ" kwa Kiswahili?

kuajiri

300

Unasemaje "mshahara" kwa Kiswahili?

salary

400

Unasemaje "make a call " kwa Kiswahili?

piga simu

400

Unasemaje "I’m on the way" kwa Kiswahili?

Niko njiani

400

Unasemaje "work environment" kwa Kiswahili?

mazingira ya kazi

400

Unasemaje "to colaborate" kwa Kiswahili?

kushirikiana

500

Unasemaje "to leave a message" kwa Kiswahili?

kuacha ujummbe

500

Unasemaje " please call me" kwa kiswahili?

Tafadhali nipigie

500

Unasemaje "to work hard" kwa Kiswahili?

kufanya kazi kwa bidii

500

Unasemaje "to be promoted" kwa Kiswahili?

kupandishwa cheo

M
e
n
u