Aina ya uchafuzi na vitu ambavyo haivundishwi na bakteria (not-biodegradable) ni...
uchafuzi wa plastiki
Mabadaliko ya tabianchi husababusha uchafuzi kwa maji. Je, unasema kitu kimoja kuhusu hatari ya maji taka?
(any reasonable answer)
ex:
- ni hatari kunywa
- hupunguza usambazaji tayari wa maji
Wakati ardhi inapotingisha, hii ni... ?
tetemeko
Ni mnyama gani wa shamba anayeunda methane nyingi?
ng'ombe
Unasemaje rangi ya "green"?
(rangi ya) kijani
Aina ya uchafuzi husababishwa na makampuni/kemikali...
uchafuzi wa viwanda
Matokeo ya wakati miti hukatwa na sio kupandwa tena
ukataji miti (au karibu)
Je, jina la dhoruba kubwa ni nini na upepo mwingi na mvua nyingi?
kimbunga/vimbunga
Je, ni shughuli gani ya kibinadamu inayotoa kiwango kikubwa cha kaboni?
matumizi ya mafuta (fossil fuels)
Unasemaje "wild/forest fire"?
myoto wa porini
Aina ya uchafuzi husababishwa na wanyama na uoto ni...
uchafuzi wa mashamba (mkubwa)
au
uchafuzi wa wanyama
Mabadiliko ya tabianchi yanaweza kusababisha kuongezeka kwa dhoruba za mvua sana, ambayo hufanya nini mbaya kwa udongo kwenye njia za maji... kwa nini?
mmomonyoko (kwa udongo pwani)
Wakati kuna mvua nyingi, _______ hutokea. Lakini, wakati hakuna mvua, _____ hutokea.
Mafuriko; Ukame
Je, mafuta yanachangia vipi mabadiliko ya tabianchi?
- uchafuzi
- hatari kwa watu na wanyama
- inatoa kemikali hewani na majini
Unasemaje "oil spill"?
uchafuzi kuvunja kwa mafuta baharini
Aina ya uchafuzi baada ya ajali ya Chernobyl ni...
(uchafuzi wa) nyuklia / mnunurisho
Matokeo haya ni kwa sababu ya kuongeza muda bila maji
kuenea kwa jangwa
(desertification)
Ni nini matokeo ya muda mrefu wa kuhangaika (struggle) kutoka kwa majanga ya asili?
- vifo
- njaa
- umaskini
- nakadhalika
Unaweza kufanya nini kutumia nishati kidogo?
(any example)
Unasemaje "don't litter"?
usitupe taka
Ni aina gani za hatari zaidi za uchafuzi kwa mfumo wa kupumuwa?
Uchafuzi za hewa
Toa sababu moja kwa nini watu hawawezi kufanya zaidi kubadili mabadiliko ya tabianchi kila siku?
(vitu vyovyote tulivyojadala darasani)
ex:
- uzoefu
- utamaduni au desturi (ya kutupa taka ovyo)
- ukosefu wa uwajibikaji wa kibinafsi
Nini kinatokea kwenye sehemu za nchani (kusini na kaskazini)?
kuyeyuka kwa barafukongwe
(au, kuongezeka kwa usawa wa bahari)
Kwa nini ukataji miti (deforestation) kuchangia mabadiliko ya tabianchi?
- chini ya miti inamaanisha kuna kaboni zaidi hewani, mbaya kwa tabaka ya ozoni
Je, jina la mwanamke aliyeanzisha "Green Belt Movement" nchini Kenya?
Wangari Maathai