Malizia msitari huu sentensi ya kwanza:
Tazama ramani utaona nchi nzuri,......
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Wimbo maarufu wa Bi Kidude
Muhogo wa Jang'ombe
Msanii huyu alifanya upasuaji mwili kwenye mwili wake
Michael Jackson
Malizia wimbo huu aya moja:
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote...
Nchi Yangu Tanzania, jina lako li tamu sana. Nilalapo nakiota wewe, niamkapo ni wewe mama wee, Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote
Quess the song based off this hint: In this song a certain character just wants to build stuff in the snow (hint it's a Disney movie you will all know)
Do you wanna build a Snowman- Frozen
Huyu ni mtunzi wa Hallellujah
George Handel
Ala hii ina funguo
Piano
Malizia kibwagizo hiki:
Muhogo wa jang'ombe......
Utaulamba mwiko, usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Mtunzi na mwimbaji wa wimbo wa wa afya:
Kuleni chakula bora mboga samaki maziwa.....
Mwinamila
Malizia kibwagizo hiki:
Mungu ametubarikia, Unguja na Pemba yote.
Sote tunashangillia, Jamhuri kutuletea.
Nini maana ya utafiti kwa mujibu wa Steinman and Willen (1967)
Ni utaratibu maalumu wa kutafuta maarifa
Shida
Mbaraka Mwinyishekhe
Malizia kibwagizo cha wimbo huu:
Njia gurusumbwe....
Usipite mchana
Waimbaji wa wimbo wa tufurahi weekend
Tabora Jazz
Taja mtunzi wa wimbo wa "Baba lao"
Diamond Platnum