Jiografia
Lugha
Vivutio
Chakula
Elimu
100
Nchi hii ipo chini zaidi ya bara la Afrika.
Nini ni Afrika Kusini?
100
Hizi ni lugha rasmi za Tanzania.
Nini ni Kiswahili na Kiingereza?
100
Mlima Kilimanjaro upo nchi hii.
Nini ni Tanzania?
100
Ugali ni kuliwa wakati wa milo zaidi katika Tanzania na Kenya. Kweli au uongo?
Nini ni kweli?
100
Wakati wanafunzi watanzania wanapata digrii shule ya sekondari, chaguzi zao ni nini?
Nini ni chuo, chuo cha ufundi, au chuo kikuu?
200
Kisiwa ipo katika pwani ya kusini mashariki ya Afrika.
Nini ni Madagascar?
200
Lugha rasmi za Kenya na Tanzania zile zile. Kweli au uongo?
Nini ni kweli?
200
Hifadhi ya taifa ya Mudumu ni kubwa zaidi ya Africa. Hifadhi ipo Namibia. Kilomita za mraba wangapi? 110,000/ 250,500/ 85,000/ 67,000
Nini ni takriban 85,000 kilomita za mraba?
200
Chakula ambacho ni kihudumia kwa dessert mara nyingi.
Nini ni matunda?
200
Nguo hii ni inavaawa mwanafunzi.
Nini ni sare?
300
Nchi hii ni kubwa zaidi kwa eneo.
Nini ni Sudan?
300
Watu wa nchi hii wanasema Kiarabu. Uorodheshe nchi mbili.
Nini ni Misri, Chad, Algeria, Comoro, Moroko, nk?
300
Nchi hii iliitwa "pwani ya dhahabu." Ghana Cote d'Ivoire Ethiopia
Nini ni Ghana?
300
Chakula hii ni kupikwa pamoja na viungo wengi (cumin, cardamon, nk), mbogo mbalimbali, na ni kufanywa pamoja na mchele.
Nini ni pilau?
300
Mfumo wa elimu katika nchi hii ni "8-4-4." 8- shule ya msingi 4- shule ya sekondari 4- shule ya juu
Nini ni Kenya?
400
Nchi hii ni kubwa zaidi kwa wananchi.
Nini ni Nigeria?
400
Watu wa nchi hii wanasema Kifaransa. Uorodheshe nchi nne.
Nini ni Madagascar, Cameroon, Niger, Shelisheli, Cote D'Ivoire, Comoro, Chad, nk?
400
Wananchi wa tembo kubwa zaidi ipo Afrika Magharibi. Kweli au uongo?
Nini ni uongo?
400
Kuna baadhi ya vyakula katika Tanzania na Kenya (na nchi nyingine) kwamba visukumwa Uhindi. Uorodhesha chakula kimoja.
Nini ni chapati?
400
Katika gazeti kuhusu elimu tulisoma darasani, matokeo kujadili nini?
Nini ni wanafunzi wakike...
500
Nchi hii ni ndogo zaidi ipo Afrika.
Nini ni Shelisheli?
500
Takriban asimilia sitini ya nchi za Afrika wanasema Kiingereza. Kweli au uongo?
Nini ni uongo?
500
Nchi hii ni maalumu kwa uzalishaji wa mvinyo.
Nini ni Afrika Kusini?
500
Katika nchi za Afrika, "french fries" ni zinaitwa nini?
Nini ni "chipsi."
500
Ni tofauti kati ya chuo na chuo kikuu nini?
Nini ni chuo ni matengenezo kwa chuo kikuu. Chuo ni ndogo zaidi ya chuo kikuu. Mwanafunzi wanasoma ufundi moja.
M
e
n
u