Elimu
Siasa 1
Siasa tu
100

Unasemaje primary school kwa Kiswahili?

Shule ya msingi

100

Unasemaje political parties kwa Kiswahili?

vyama vya siasa

100

Unasemaje campaign kwa Kiswahili?

kampeni

200

Unasemaje major kwa Kiswahili?

taalimikia

200

Unasemaje government kwa Kiswahili?

serikali

200

Unasemaje election kwa Kiswahili?

uchaguzi

300

Unasemaje high school kwa Kiswahili?

shule ya upili

300

Unasemaje Vice President kwa Kiswahili?

Makamu wa Rais

300

Unasemaje corruption kwa Kiswahili?

rushwa

400

Unasemaje education system kwa Kiswahili?

mfumo wa elimu

400

Unasemajeto vote  kwa Kiswahili?

kupiga kura

400

Unasemaje honorable kwa Kiswahili?

Mheshimiwa

500

Unasemaje international school  kwa Kiswahili?

shule ya kimataifa

500

Unasemaje rulling party kwa Kiswahili?

chama tawala

500

Unasemaje opposition parties kwa Kiswahili?

vyama vya upinzani

M
e
n
u