Vocabulary
-ka-,nami
-enye, mbele y-, nyuma y-
100
Mnyama mjaja ni?
What is Sungura.
100
Wazee walikuja halafu wa__enda.
What is ka
100
in front of us
What is mbele yetu
200
Daktari anapatia wagonjwa nini?
What is Dawa.
200
Mtoto alipoamka a__nza kulilia chakula.
What is ka
200
beneath me
What is chino yang
300
Arusi ni katika bwana arusi na nani?
What is Biharusi/ Bibi arusi.
300
Nilikaa karibu ___ darasani. (with you)
What is nawe
300
a person having knowledge
What is mtu mwenye ujuzi.
400
Mvulana akikubaliwa na wazazi wa msichana huambiwa atoe nini?
What is mahari.
400
Sandra alicheza mpira wa wavu (volleyball) (with them)
What is wao
400
book having pictures
What is kitabu chenye picha.
500
Nyanya hupenda kuambia watoto nini?
What is Hadithi.
500
Ulikuwa ___ ofisini. (with me)
What is nami
500
house having trees
What is nyumba yenye mitt.
M
e
n
u