Chakula
Vinyume
Methali
Nguo
Wanyama
100

Eggs

Mayai

100

Joto

Baridi

100

Haraka haraka__

-haina baraka. 


100

Pants

Suruali

100

Giraffe

Twiga

200

Cooked rice

Wali


200

Mwerevu 

Mjinga

200

Mtaka cha mvunguni____

-sharti ainame. 

200

Hat 

Kofia

200

Mtoto wa kuku

Kifaranga

300

Roasted Meat (maneno matatu)

Nyama Choma

300

Lala

Amka

300

Asiyesikia la mkuu____

-huvinjika guu.

300

Socks

Soksi

300

Sheep

Kondoo

400

Fried meat (maneno matatu)

Nyama ya kukaanga 

400

Ongea

Nyamaza

400

Ngoja ngoja___

-huumiza matumbo.

400

Shorts

Kaptura

400

Turkey 

Bata

500

Apples (wingi)

matofali

500

Jaza

Mwaga

500

Kwenye miti___

-hakuna wajenzi

500

Robe (kaftan)

Kanzu

500

Mtoto wa ng'ombe

Ndama