Jina lako ni nani?
Jina langu ni...
Unasemaje English kwa Kiswahili?
Kiingereza
Unasemaje France kwa Kiswahili?
Ufaransa
Unasemaje American kwa Kiswahili?
Mmarekani
Amerika, Kenya, India, China, Burundi
Nchi
Unatoka nchi gani?
Ninatoka nchi ya...
Unasemaje German kwa Kiswahili?
Kijerumani
Unasemaje Mozambique kwa Kiswahili
Msumbiji
Unasemaje British kwa Kiswahili
Mwingereza
Kansas, Nevada, New York, Colorado, Illinois
Jimbo/majimbo
Unasoma nini?
Ninasoma...
Unasemaje Spanish kwa Kiswahili?
Kihispania
Unasemaje Egypt kwa Kiswahili
Misri
Unasemaje Turkish kwa Kiswahili
Mturuki
Chicago, Detroit, Denver, Tulsa, Los Angeles
Mji/miji
Unakaa wapi sasa?
Ninakaa mji wa Lawrence, jimbo la Kansas
Unasemaje Arabic kwa Kiswahili?
Kiarabu
Unasemaje Greece kwa Kiswahili
Ugiriki
Unasemaje Indian kwa Kiswahili
Muhindi/Mhindi
Afrika, Asia, Europa/Ulaya, Amerika Kaskazini, Amerika Kusini, Australia, na Antaktika
Bara/mabara
Unapenda nini?
Ninapenda...
Unasemaje French kwa Kiswahili?
Kifaransa
Unasemaje Turkey kwa Kiswahili
Uturuki
Unasemaje Tanzanian kwa Kiswahili?
Mtanzania
Unasemaje grapes kwa Kiswahili
Zabibu