Jina lako ni nani?/Unaitwa nani?
Jina langu ni.../ninaitwa...
Unasemaje English kwa Kiswahili?
Kiingereza
Unasemaje France kwa Kiswahili?
Ufaransa
Unasemaje door kwa Kiswahili?
Mlango
Amerika, China, Kenya, Uganda, Ujerumani
Nchi
Unatoka nchi gani?
Ninatoka nchi ya...
Unasemaje German kwa Kiswahili?
Kijerumani
Unasemaje Mozambique kwa Kiswahili?
Msumbiji
Unasemaje window kwa Kiswahili?
Dirisha
Kansas, Ohio, New York, California, Nevada
Jimbo/ majimbo
Unasoma nini?
Ninasoma...
Unasemaje Spanish kwa Kiswahili?
Kihispania
Unasemaje Egypt kwa Kiswahili?
Misri
Unasemaje desk kwa Kiswahili?
Dawati/deski
Lawrence, Topeka, New Orleans, Columbus, Los Angeles
Mji/miji
Unakaa wapi sasa?
Ninakaa mji wa Lawrence, jimbo la Kansas
Unasemaje Arabic kwa Kiswahili?
Kiarabu
Unasemaje Turkey kwa Kiswahili?
Uturuki
Unasemaje table kwa Kiswahili?
Meza
Kiswahili, Kijerumani, Kihispania, Kiarabu
Lugha
Unapenda nini?
Ninapenda...
Unasemaje French kwa Kiswahili?
Kifaransa
Unasemaje Greece kwa Kiswahili?
Ugiriki
Unasemaje projector kwa Kiswahili?
Projekta
Mkenya, Mmarekani, Mchina, Mjerumani, Mtanzania
Uraia