150 kwa Kiswahili
Mia moja hamsini
Mamake mamako anaitwaje?
Bibi/Nyanya
1:00 pm kwa Kiswahili
Saa saba
Football kwa Kiswahili
Kandanda/mpira wa miguu
Tafsiri kwa Kiswahili - A red shirt
Shati nyekundu
299 kwa Kiswahili
Mia mbili tisini na tisa
Mtoto wa mjombako ni nani?
Binamu
3:30 pm kwa Kiswahili
Saa tisa u nusu
Basketball kwa Kiswahili
Mpira wa wavu
Tafsiri kwa Kiswahili - A pink trouser
Suruali ya Waridi
701 kwa kiswahili
Mia saba na moja
Kakake babako ni nani?
Ami
Saa sita kamili, ni saa ngapi kwa Kiingereza?
12:00 noon/midnight
Mchezo wa vinyoya ni mchezo gani kwa Kiingereza?
Badminton
shorts Kwa Kiswahili
Kaptura
Elfu moja, mia nane, thelathini na tisa.
1839
Mtoto wa mwisho wa familia anaitwa nani?
Kitinda mimba
Saa kumi na moja kasoro robo, ni saa ngapi kwa Kiingereza?
4:45pm
Riadha ni spoti gani kwa Kiingereza?
Athletics
Tafsiri kwa Kiswahili - She is wearing a green skirt
Amevaa sketi ya kijani
Elfu kumi, mia tano na arobaini na tano.
10,545
Ndugu wawili wanaofanana na waliozaliwa siku moja
Mapacha
Andika 9:45 am kwa Kiswahili
Saa 3:45
Kuteleza kwa mawimbi ni mchezo gani kwa Kiingereza?
Surfing
Tafsiri kwa kiswahili - He wore a blue tie yesterday.
Jana, alivaa tai ya buluu.