Show:
Questions
Responses
Print
NGELI
FAMILIA
HALI YA ANGA
SALAMU
VIFAA VYA DARASA
100
What is the plural of "Kiti"?
Viti
100
Bibi wa baba ni__________
Mama
100
wakati wa jua kali ni?
Kiangazi
100
Habari
Nzuri
100
Unasemaje "Trash" kwa kiswahili?
Jaa
200
How would you say "this cow"
Ng'ombe huyu
200
Ndugu yangu mkubwa nitawaitaje?
Kaka
200
Huwa linanyesha, (ilinyesha jana,na hata leo asubuhi). _______Hunyesha
Mvua
200
Hujambo
Sijambo
200
Unasemaje "Computer" kwa kiswahili?
Ni kompyuta
300
What is the plural of "Mtoto huyu amechoka?"
Watoto hawa wamechoka.
300
Mtoto ma mwana wangu nitamwitaje?
Mjukuu
300
Huwa linawaka waka waka. ______ huwaka.
Jua
300
Sasa?
Fiti
300
Hutumiwa kwa kuandika.
Kalamu au penseli au chaki.
400
Gari-Magari Jino-Meno Goti-Magoti Jicho-Macho Tunda-Matunda Ua-Maua
Give an example of a noun in JI-MA class in both singular and plural.
400
Mtoto wangu mvulana nitamwitaje?
Mtoto wa kiume au mwana.
400
Wakati huu kuna baridi kidogo, pia majani hubadilika rangi na kupukutika ardhini. Ni wakati wa _______________
Machipuzi
400
"Sema" means
What's up?
400
Mwalimu wa maabara hukitumia kwa kufuta ubao. Ni________
Kifutio
500
Ndimi
Wingi we "ulimi" ni?
500
Baba wa baba nitamwitaje?
Babu
500
Wakati wa baridi na theluji
Kipupwe
500
Ni salamu kwa wakubwa. And how do you answer it?
Shikamoo-Marahaba
500
Mwanafunzi hukitumia kwa kuchonga penseli
Kichongeo