Nambari
Saa (time)
Tarehe
Nguo na rangi
Usafiri (transport)
100

27

Ishirini na saba

100

Unasemaje 7:30 am kwa Kiswahili?

saa moja na nusu asubuhi

100

Unasemaje 16/04/2020

tarehe kumi na sita mwezi wa nne mwaka elfu mbili na ishirini

100

Unasemaje " red skirt" kwa Kiswahili?

sketi nyekundu

100

Unasemaje " plane" kwa Kiswahili?

ndege

200

30

Thelathini

200

Unasemaje 8:45 pm

saa mbili na dakika arobaini na tana usiku or saa tatu kasorobo

200

Unasemaje 04/08/2000

tarehe nne mwezi wa nane mwaka elfu mbili

200

Unasemaje " white socks" kwa Kiswahili?

soksi nyeupe

200

Unasemaje " motorcycle" kwa Kiswahili?

pikipiki

300

888

Mia nane themanini na nane

300

Unasemaje 4:15pm

saa kumi na robo jioni

300

Unasemaje 30/12/2023

tarehe thelathini mwezi wa kumi na mbili  mwaka elfu mbili na ishirini na tatu

300

Unasemaje " blue shoes" kwa Kiswahili?

viatu vya bluu

300

Unasemaje " ship" kwa Kiswahili?

meli

400

33,333

Elfu thelathini na tutu mia tatu thelathini na tatu

400

Unasemaje 3:25am

saa tisa na dakika sihirini na tano usiku

400

Unasemaje 12/10/2015

tarehe kumi na mbili mwezi wa kumi mwaka elfu mbili na kumi na tano

400

Unasemaje " a purple suit" kwa Kiswahili?

suti ya zambarau

400

Unasemaje " bicycle" kwa Kiswahili?

baiskeli

500

100000

laki moja

500

Unasemaje 5:00pm

saa kumi na moja kamili jioni

500

Unasemaje 27/07/2007

tarehe ishirini na saba mwezi wa saba mwaka elfu mbili na saba

500

Unasemaje " necklace" kwa Kiswahili?

mkufu

500

Unasemaje " car" kwa Kiswahili?

gari