Chama cha Repabliki, Demokratiki, ODM,UDA,CCM, CHADEMA
Vyama vya siasa
shule_________ni ghali sana
binafsi
unasemaje "nausea" kwa Kiswahili?
kichefuchefu
unasemaje "Tuberculosis" kwa Kiswahili?
Kifua Kikuu
unasemaje "feel" kwa Kiswahili?
hisi
Unasemaje "ambulance" kwa Kiswahili?
ambulensi/gari la wagonjwa
Marekani kuna rais na _______________
Makamu wa rais
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari hapa Marekani unajiunga na ___________________
shule ya upili
unasemaje "vomit" kwa Kiswahili?
tapika
unasemaje "asthma" kwa Kiswahili?
pumu
unasemaje "hurt" kwa Kiswahili?
umwa
Unasemaje "ICU" kwa Kiswahili?
chumba cha wagonjwa mahututi
Tanzania kuna rais, __________, na ____________
makamu wa rais na waziri mkuu
Unapokuwa na miaka mitano utaanza__________
shule ya wali/chekechea
unasemaje "dizzness" kwa Kiswahili?
kizunguzungu
unasemaje "yellow fever" kwa Kiswahili?
homa ya mafua
unasemaje "broken" kwa Kiswahili?
vunjika
Unasemaje "surgery" kwa Kiswahili?
upasuaji
Uchaguzi nchini marekani ni kila baada ya miaka_____
minne
Jiografia, Kemoia, Fizikia, Hisabati, Kifaransa, Sanaa yote ni___________
masomo
unasemaje "itchy" kwa Kiswahili?
kuwashwa
unasemaje "diabetes" kwa Kiswahili?
kisukari
unasemaje "diarrhea" kwa Kiswahili?
harisha/endesha
Unasemaje "laboratory" kwa Kiswahili?
maabara
Alikuwa gavana wa New York. Jina lake ni______
Andrew Cuomo
Unaweza kutaalimikia Sheria na kusoma _________kama Kiingereza
masomo madogo
unasemaje "fever" kwa Kiswahili?
homa
unasemaje "cancer" kwa Kiswahili?
kansa/saratani
unasemaje "cough" kwa Kiswahili?
kohoa
Unasemaje "pain" kwa Kiswahili?
maumivu