Wanyama
Vitenzi
Mavazi
Tamaduni
Vyakula
100
"Hello" in Swahili is?
Jambo
100
Kusafi
Kuendesha gari na kuhara
100
Kanga au leso ni nini?
Kitamba ambacho huvaa wanawake na huwa na misemo.
100
What is a typical swahili breakfast?
Mbaazi na andazi etc
100
Keki ni nini kwa Kiswahili?
cake
200
Simba huishi wapi?
Porini/Msituni
200
Wewe hutumia nini kucheka na kuona?
Mdomo na macho
200
Je Kitenge ni nini?
Ni vazi la akina mama
200
What is the first day of the week for Swahili culture, in swahili?
Jumamosi (Saturday)
300
Nyama zipi haziliwi kati ya hizi: Nyama ya Mbuzi, Nyama ya ng'ombe, Nyama ya Punda
Nyama ya Punda
300
Sema maana zote za "Kuendesha"
Kuendesha gari na kuhara
300
What is the other name of mshipi
Mkanda
300
Taja waimbaji/wasanii nne tofauti Waswahili
Jua Kali/Nonini/Ali Kiba/
300
Name all the days of the week in Swahili
Jumamosi/Jumapili/Jumatatu/Jumanne/Jumatano/Alhamisi-Ijumaa/Ijumaa
400
Taja wanyama wawili wa kufugwa na wawili ambao sio wa kufugwa
Kuku, Mbuzi, Kondoo, Ng'mbe, twiga, pundamilia
400
Gani ni sawa: Ninahisi njaa au nina njaa?
Zote ni sawa
400
Tofauti gani kati ya kofia na chepeo?
Kofia ni hat while chepeo is a cap
400
What are the four African countries that have swahili either as a national language or as official language?
Kenya, Tanzania, Uganda na D.R.C (Democratic Republic of Congo).
400
What are to ways of saying "Week" in swahili?
Wiki na Juma
500
What is hyena in Swahili?
Mbwamwitu
500
Mkulima hulima, je muuguzi hufanya nini?
Huuguza.
500
Kandambili ni nini?
Slippers
500
Tofautisha kati ya Kiswahili/Uswahili/Waswahili
Kiswahili refers to the Swahili language. Uswahili refers to the culture of the Swahili people.Waswahili refers to the people of the Swahili Coast.
500
How do you say "the whole week" in swahili? Hint: We have learned how to say the whole day before.
Juma au Wiki nzima