Sehemu za Mwili/Body parts
Kichwa
Head
Pika
Cook
Ninakimbia
I am running
Saa moja asubuhi
7:00am
Moja
1
Magoti
Knees
Tembea
Walk
Unaruka
You are jumping
Saa sita kamili
12:00
Kumi
Ten
Sura
Face
Imba
Sing
Anasema
He/She says
Saa mbili na dakika ishirini usiku
8:20pm
Ishirini
Twenty
Nywele
Hair
Cheza
Play/Dance
Tunakuja
We are coming
Saa nane na nusu
2:30
Mia moja
One hundred
Miguu
Legs/Feet
Endesha
Drive
ninakula
i am eating
Saa kumi na kumi na tano
4:15pm
Hamsini
Fifty