climate change in swahili
mabadiliko ya tabianchi
Heart disease
ugonjwa wa moyo
Rais wa Marekani
Rais Joe Biden
Wa' salam alekum
Alekum wa salam
Unasoma wapi
Chuo cha Oregon
Ni nini kinachoathiri hali ya hewa zaidi
Gesi chafu
Jina la mtu anayetibu meno
Daktari wa meno
Jina la Rais wa Tanzania aliyefariki
Rais John Pombe Magufuli
Njia bora ya kumsalimia mwalimu
Shikamoo
23,634 kwa kiswahilli
elfu ishrini na tatu, mia sita thelathini na nne
Ni mpango gani wa hali ya hewa Marekani ilijiunga tena
Makubaliano ya hali ya hewa ya Paris
ni ugonjwa gani umesababisha nchi zote kufunga
virusi ya COVID 19
Ni nini kinachosababisha serikali kushindwa.
sera mbaya za serikali.........
Ni nini baadhi ya njia za salamu
kupiga magoti chini, kupeana mikono, kuinamiana etc
mwezi uliopita wa mwaka
Desemba
Ishara za mabadiliko ya hali ya hewa
Ukame, Mafuriko, Joto la juu
unafanya nini wakati unaumwa
pumzika na ulale....
mikono mitatu ya serikali
mtendaji, mahakama na bunge
Unawasalimuje wazee wa Afrika Mashariki
kwa heshima, furaha etc
compare and contrast kwa kiswahili
kulinganisha na kutofautisha
njia mbili ambazo unaweza kuokoa mazingira
kutembea, kupanda miti etc
orthopedics kwa kiswahilli
mifupa
Je ni shida gani zingine za waafrika mashariki wanakabiliwa na viongozi wabaya?
Ufisadi, Ukabila, Udikteta etc
katika jamii yako, salamu hutumika kufika malengo gani
heshima, rasmi, karibisha watu etc
Muundo wa hadithi fupi
utangulizi, mwili, tamari