1. Jehovah told me to go to a city some 500 miles away instead I tried to run to a place 2,200 miles away.
2. I don't know why but I don't like big fish!
JONAH
1. Yehova aliniambia kwenda jiji la kilomita 800 hivi, badala yake, nilikimbia mahali pa kilomita 3500 hivi!
2. Sijui kwa nini, lakini sipendi samaki mkubwa!
YONA
1. I was a preacher of righteousness.
2. I had 3 sons.
3. i built an ark.
NOAH
1. Nilikuwa mhubiri wa uadilifu.
2. Nilikuwa na wana watatu.
3. Nilijenga safina.
NOAH
1.I was a Nazarite from birth and my birth was a miracle.
2. My Mother and Father were of the priestly house of Aaron.
3. I am a prophet like Elijah, but i did not perform any miracles.
JOHN THE BAPTIST
1. Nilikuwa Mnadhiri tangu nikiwa katika tumbo la mama yangu na mama yangu alinizaa muujiza.
2. Mama yangu na Baba yangu walikuwa wa ukoo wa Haruni.
3. Mimi ni unabii kama Eliya, lakini sikufanya miujiza kamwe!
YOHANA MBATIZAJI
1. I was only a small boy but I was lent to the service of Jehovah at his temple.
2. I told King Saul "to obey is better than a sacrifice..."
3. My Mother's name is Hannah and my Father is Elkanah.
SAMUEL
1. Nilikuwa mvulana mdogo tu, wakati nimekabidhiwa kwa Yehova kumtumikia yeye hekaluni.
2. Nilimwambia Mfalme Sauli-" Kutii ni bora kuliko dhabihu..."
3. Jina la mama yangu ni Hana na Baba yangu ni Elkana.
SAMWELI
1. I was a singer at the house of Jehovah and i played the cymbals, stringed instruments and harps for the service of the house of the true God.
2. Psalms 83:18 yeah, I wrote that!
ASAPH
1. Nilikuwa mwimbaji katika nyumba ya Yehova, nikitumia matoazi, vinanda, na vinubi kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu wa kweli.
2. Zaburi 83:18 naam, niliandika hivi!
ASAFU
1. When Paul gave a talk, I fell out of the window because I sank into a deep sleep.
2. You can be sure that I will pay more than the usual attention at Meetings from now on!
EUTYCHUS
1. Paulo alipotoa hotuba nilianguka kutoka dirisha kwa sababu nikalala usingizi mzito.
2, Uwe hakika kwamba nitalikazia uangalifu zaidi kuliko ilivyo kawaida kwenye mikutano sasa!
EUTIKO
1. I was over the household of wicked king Ahab.
2. I greatly feared Jehovah so I hid 100 prophets 50 to a cave and supplied them with bread and water.
3. If you still don't know who I am read 1 Kings 18:3,4.
OBADIAH
1. Nilikuwa msimamizi wa nyumba ya Ahabu.
2. Nilimwogopa sana Yehova kwa hiyo, niliwachukua manabii 100 na kuwaficha katika mapango mawili, manabii 50 katika kila pango, niliwapa mikate na maji.
3. Ikiwa bado hujui mimi ni nani, soma 1Wafalme 18:3,4.
OBADIA
1. I used to go out to spend time with the young women of the land.
2. My brothers killed Hamor and his son Shechem with the sword.
3. I learned that bad associations spoil useful habits.
DINAH
1. Nilizoea kwenda kuwatembelea mabinti wengine nchini.
2. Ndugu zangu wakamuua Hamori na Shekemu mwanawe kwa upanga.
3. Nilijufunza kwamba kushirikiana na watu wabaya huharibu tabia nzuri.
DINA
1. I have the same name as a Mighty Warrior in Israel, but I am not a warrior.
2. Children Love Me!
3. I have never heard the name of my Parents, even though I know my Sister and my Friends' Names.
CALEB
1. Jina langu ni sawa na Shujaa Hodari katika Israeli, lakini mimi si shujaa kama yeye.
2. Watoto wananipenda!
3. Sijawahi kusikia jina la wazazi wangu, lakini najua jina la dada yangu na marafiki zangu.
CALEBU
1. She had Great Faith in Jesus!
2. She was very industrious!
3. Often she was serving others.
4. Her brother was Lazarus.
MARTHA
1. Alikuwa na Imani Kubwa!
2. Alionyesha ukarimu na bidii!
3. Mara nyingi, alikuwa akiwahudumia wengine!
4. Ndugu yake ni Lazaro
MARTHA