"Injera" ni chakula maarufu Afrika. Kinapatikana nchi gani?
Ethiopia
Ziwa kubwa barani Afrika ni ziwa gani?
(största sjö i Afrika)
Victoria, Tanzania
Rais wa kwanza wa Congo alikuwa nani?
a) Patrice Lumumba
b) Mobutu Sesse seko
c) Laurent Kabila
Patrice Lumumba
Nchi gani afrika kuna sanaa ya filamu inayoitwa Nolywood?
Nigeria
Lugha inayoongelewa sana Afrika mashariki?
Swahili
"Fufu" ni chakula gani na kinapikwa sana nchi gani?
Ugali
Ghana, Nigeria
Taja nchi mbili za afrika zinazo zungumza kifaransa.
Två Afrikanska länder där talar man franska?
congo, burundi, rwanda, ivory coast, Chad, Senegal,
Rais wa Rwanda ni nani?
Kagame.
Nani aliimba wimbo wa "Waka Waka" kwenye kombe la Dunia Mwaka 2010
Shakira.
Watu wafupi sana wanaoishi msituni Congo, Kameruni na Afrika ya kati wanaitwaje?
Pigmi /Mbilikimo
"Jollof" ni chakula gani na kinapikwa sana kwenye nchi gani Afrika
Wali/Pilau
Ghana na Nigeria
Jangwa kubwa kaskazini mwa Afrika linaitwaje?
Nchi za Afrika zimedai ramani ya dunia irekebishwe ioneshe vizuri bara la Afrika. Ile ramani ya zamani ina shida gani?
Inaonesha Afrika iko karibia swa na Grönland wkati Afrika ni kubwa mara 14 ya Grönland.
Mwanamuziki wa Nigeria aliyependekezwa kupokea tuzo ya Grammy in 2026 kwa wimbo "With You"
Davido
Madini (mineral) muhimu sana kutoka Congo yanayotumika kutengeneza simu na elektroni kama Iphone, Kompyuta, Tv .. yanaitwaje?
Coltan
"Muamba ya Soso na "Pondu" (saka saka) ni vyakula maarufu sana katika nchi gani?
Congo Kinshasa
Nchi kubwa kuliko zote Afrika? ni ipi?
a) Congo
c) Libya
d) Algeria
Algeria
Rais wa kwanza mweusi wa Syd Afrika baada ya wakoloni kutolewa kwenye uongozi alikuwa nani?
a) Mobutu Sesse Seko, b)Nelson Mandela,
c) Julius Nyerere
Nelson Mandela
wapiga goma maarufu "Abatimbo" wanapatikana nchi gani ya Afrika Mashariki?
Burundi
Ziwa gani Afrika mashariki lina kina kirefu sana kuliko yote?
(djupaste sjö i östafrika)
Ziwa Tanganyika
"Kaffe"/Kahawa iligunduliwa nchi gani Afrika?
Vilkelt land i Afrika är kaffets ursprungsland?
Ethiopia
Mji mkuu wa Somali ni upi?
(Somalias huvudstad)
Mogadishu
Zamani Tanzania ilikuwa inaitwa kwa jina gani?
Tanganyika
Mwanamuziki maarufu sana nchini Tanzania ni nan?
Diamond Platnumz
Nchi gani ipo ndani katikati kabisa ya Afrika ya kusini?
ett land som ligger helt omgivet av Sydafrika ?
Lesotho