(Family)
Mama yangu anaitwa nani?
Mama yako anaitwa Elizabeth.
7:00 AM
Saa moja asubuhi.
Wana kaka watatu.
They have three brothers.
Hujambo?
Sijambo.
What is the opposite of "mzuri"?
Mbaya
Nyanya yangu anaitwa nani?
Nyanya yako anaitwa Stephanie.
4:00 PM
Saa kumi jioni.
Wewe ni mwanafunzi hodari.
You are a skillful student.
Give two ways of saying goodbye.
Kwa heri
Tutaonana baadaye
Siku njema
Usiku mwema
Line 1: ------------------------------
Line 2: --------
Line 2 ni fupi au ndefu?
Line 2 ni fupi.
Dada yangu anaitwa nani?
Dada yako anaitwa Madison.
Saa tano asubuhi.
Darasa letu ni fupi leo.
Our class is short today.
Shikamoo
Marahaba
Baba ni mkali sana. Tafsiri!
Dad is very strict.
Binamu yangu anaitwa nani?
Binamu yako anaitwa Gillian.
2:30 PM
Saa nane na nusu mchana.
Mama yake husoma vitabu Jumamosi.
Her mom usually reads books on Saturdays.
Uko salama?
Niko salama.
Watoto ni wavivu. Tafsiri!
The children are lazy.
Mjomba wangu anaitwa nani?
Mjomba yako anaitwa Bret.
9:45 PM
Saa nne kasorobo usiku.
AU
Saa tatu na dakika arobaini na tano.
Yeye hula chakula cha mchana saa tano na nusu asubuhi.
He/she usually eats lunch at 11:30 AM.
Unatoka wapi?
Ninatoka ______.
Wanafunzi ni werevu. Tafsiri!
The students are clever/smart.